sw_tn/2co/11/12.md

724 B

Sentensi Unganishi

Kwa kuwa Paulo anaendelea kuthibitisha kwamba utume wake, anazungumzia kuhusu mitume wa uongo.

ili kwamba niweze kuondoa madai

Paulo anazungumzia madai ya manabii wa uongo kuwa hali ya maadui wake kama ilikuwa kitu anachoweza kukiondoa"

wanataka kujivuna kwa lipi?

Wakati kujisifu kwa Paulo kulikuwa "uhuru kuhubiri injili"

wameonekana wakifanya kazi ile ile ambayo tunaitenda

Hii ina maana kwamba "wale watu watafikiri kuwa wako kama sisi"

kwa watu wa jinsi ile

"Ninafanya yale ninayoyafanya kwa sababu watu wanayapenda"

watendakazi wadanganyifu

"wafanya kazi wasio heshimiwa"

Wanajifanya wenyewe kama mitume

""siyo mitume, lakini wanajaribu wao wenyewe kuwa kama mitume"