sw_tn/2co/11/12.md

28 lines
724 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi
Kwa kuwa Paulo anaendelea kuthibitisha kwamba utume wake, anazungumzia kuhusu mitume wa uongo.
# ili kwamba niweze kuondoa madai
Paulo anazungumzia madai ya manabii wa uongo kuwa hali ya maadui wake kama ilikuwa kitu anachoweza kukiondoa"
# wanataka kujivuna kwa lipi?
Wakati kujisifu kwa Paulo kulikuwa "uhuru kuhubiri injili"
# wameonekana wakifanya kazi ile ile ambayo tunaitenda
Hii ina maana kwamba "wale watu watafikiri kuwa wako kama sisi"
# kwa watu wa jinsi ile
"Ninafanya yale ninayoyafanya kwa sababu watu wanayapenda"
# watendakazi wadanganyifu
"wafanya kazi wasio heshimiwa"
# Wanajifanya wenyewe kama mitume
""siyo mitume, lakini wanajaribu wao wenyewe kuwa kama mitume"