# Sentensi Unganishi Kwa kuwa Paulo anaendelea kuthibitisha kwamba utume wake, anazungumzia kuhusu mitume wa uongo. # ili kwamba niweze kuondoa madai Paulo anazungumzia madai ya manabii wa uongo kuwa hali ya maadui wake kama ilikuwa kitu anachoweza kukiondoa" # wanataka kujivuna kwa lipi? Wakati kujisifu kwa Paulo kulikuwa "uhuru kuhubiri injili" # wameonekana wakifanya kazi ile ile ambayo tunaitenda Hii ina maana kwamba "wale watu watafikiri kuwa wako kama sisi" # kwa watu wa jinsi ile "Ninafanya yale ninayoyafanya kwa sababu watu wanayapenda" # watendakazi wadanganyifu "wafanya kazi wasio heshimiwa" # Wanajifanya wenyewe kama mitume ""siyo mitume, lakini wanajaribu wao wenyewe kuwa kama mitume"