sw_tn/2co/11/07.md

814 B

Je, nilifanya dhambi kwa kujinyenyekeza mwenyewe ili ninyi muweze kuinuliwa

Paulo anaanza kwa kudai kwamba aliwatendea Wakorintho kwa uzuri.Swali hili la kujihoji linaweza kutafsiriwa hivi: " Nadhani tunakubaliana kwamba sikufanya dhambi kwa akujinyenyekeza mwenyewe ili ya kwamba mpate kuinuliwa"

kwa uhuru

"bila kutegemea kurudishiwa chochote kutoka kwenu"

Nilinyang'anya makanisa mengine

Sentensi hii imeelezwa kwa kuikuza au kutia chumvi kusisitiza kwamba Paulo alichukua fedha kutoka makanisa mengine.

ningeweza kuwahudumia ninyi

Maaana kamili ya sentensi hii yaweza kuwa: "Naweza kuwatumikia ninyi bila gharama"

Katika kila kitu nimejizuia mwenyewe kutokuwa mzigo kwenu

"sijawahi kwa njia yoyote kuwa mzigo kwenu kifedha.

ndugu waliokuja

"Ndugu hawa" huenda walikuwa wanaume wote.