sw_tn/2co/10/15.md

297 B

Hatujajivuna kupita mipaka

Hii ni nahau: "hatukujivuna juu vitu ambavyo hatukuwa na mamlaka navyo"

eneo letu la kazi litapanuliwa

Sentensi hii yaweza kueleza kwa namna ya utendaji: "Mungu atazidi kupanua eneo letu la kazi"

katika maeneo mengine.

"eneo ambalo Mungu amemtuma mtu fulani"