sw_tn/2co/10/15.md

12 lines
297 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Hatujajivuna kupita mipaka
Hii ni nahau: "hatukujivuna juu vitu ambavyo hatukuwa na mamlaka navyo"
# eneo letu la kazi litapanuliwa
Sentensi hii yaweza kueleza kwa namna ya utendaji: "Mungu atazidi kupanua eneo letu la kazi"
# katika maeneo mengine.
"eneo ambalo Mungu amemtuma mtu fulani"