# Hatujajivuna kupita mipaka Hii ni nahau: "hatukujivuna juu vitu ambavyo hatukuwa na mamlaka navyo" # eneo letu la kazi litapanuliwa Sentensi hii yaweza kueleza kwa namna ya utendaji: "Mungu atazidi kupanua eneo letu la kazi" # katika maeneo mengine. "eneo ambalo Mungu amemtuma mtu fulani"