sw_tn/2co/10/07.md

433 B

Tazameni yale yaliyo wazi mbele yenu

maana zawezakuwa: Hii ni amri au hii ni maelezo.

hebu ajikumbushe yeye mwenyewe

"yeye anahitaji kukumbuka"

"kama vile alivyo ni wa Kristo; ; hivyo ndiyo na sisi pia tuko hivyo

"kwamba sisi ni wa Krsto kama vile kwa mengi afanyayo"

kuwajenga ninyi na siyo kuwaharibu, sitaona haya

Paulo anazungumza juu ya kuwasaidia Wakorintho kujua Kristo vizuri kama vile alikuwa akijenga jengo.