# Tazameni yale yaliyo wazi mbele yenu maana zawezakuwa: Hii ni amri au hii ni maelezo. # hebu ajikumbushe yeye mwenyewe "yeye anahitaji kukumbuka" # "kama vile alivyo ni wa Kristo; ; hivyo ndiyo na sisi pia tuko hivyo "kwamba sisi ni wa Krsto kama vile kwa mengi afanyayo" # kuwajenga ninyi na siyo kuwaharibu, sitaona haya Paulo anazungumza juu ya kuwasaidia Wakorintho kujua Kristo vizuri kama vile alikuwa akijenga jengo.