sw_tn/2co/10/07.md

16 lines
433 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Tazameni yale yaliyo wazi mbele yenu
maana zawezakuwa: Hii ni amri au hii ni maelezo.
# hebu ajikumbushe yeye mwenyewe
"yeye anahitaji kukumbuka"
# "kama vile alivyo ni wa Kristo; ; hivyo ndiyo na sisi pia tuko hivyo
"kwamba sisi ni wa Krsto kama vile kwa mengi afanyayo"
# kuwajenga ninyi na siyo kuwaharibu, sitaona haya
Paulo anazungumza juu ya kuwasaidia Wakorintho kujua Kristo vizuri kama vile alikuwa akijenga jengo.