sw_tn/2co/10/05.md

771 B

kila kinachojiinua

Paulo bado anazungumza kwa fumbo juu ya neno "vita" kama vile "maarifa ya Mungu" vilikuwa jeshi na " kila kijiinuacho" ulikuwa ukuta ambao waliutengeneza kuzuia vita.

kila kitu kinachojiinua

"kila kitu ambacho huwafanya watu wajivunie"

kijiinuacho dhidi ya maarifa ya Mungu

paulo anazungumzia hoja kama vile ukuta unaosimama juu dhidi ua vita. Maneno " inuka juu" ina maanisha "simaa kwa urefu" " siyo kwamba kitu cha juu kinakuja kutoka angani.

Tunalifanya mateka kila wazo katika utii kwa Kristo

Paulo anazungumza juu ya mawazo ya watu kama vile yalikuwa askari ambaye alimteka katika vita.

kuadhibu kila matendo lisilo na uti

Maneno haya "tendo lisilo na utii" yanasimama kuwakilisha watu ambao waliyatenda maatendo hayo.