sw_tn/2co/10/05.md

20 lines
771 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kila kinachojiinua
Paulo bado anazungumza kwa fumbo juu ya neno "vita" kama vile "maarifa ya Mungu" vilikuwa jeshi na " kila kijiinuacho" ulikuwa ukuta ambao waliutengeneza kuzuia vita.
# kila kitu kinachojiinua
"kila kitu ambacho huwafanya watu wajivunie"
# kijiinuacho dhidi ya maarifa ya Mungu
paulo anazungumzia hoja kama vile ukuta unaosimama juu dhidi ua vita. Maneno " inuka juu" ina maanisha "simaa kwa urefu" " siyo kwamba kitu cha juu kinakuja kutoka angani.
# Tunalifanya mateka kila wazo katika utii kwa Kristo
Paulo anazungumza juu ya mawazo ya watu kama vile yalikuwa askari ambaye alimteka katika vita.
# kuadhibu kila matendo lisilo na uti
Maneno haya "tendo lisilo na utii" yanasimama kuwakilisha watu ambao waliyatenda maatendo hayo.