# kila kinachojiinua Paulo bado anazungumza kwa fumbo juu ya neno "vita" kama vile "maarifa ya Mungu" vilikuwa jeshi na " kila kijiinuacho" ulikuwa ukuta ambao waliutengeneza kuzuia vita. # kila kitu kinachojiinua "kila kitu ambacho huwafanya watu wajivunie" # kijiinuacho dhidi ya maarifa ya Mungu paulo anazungumzia hoja kama vile ukuta unaosimama juu dhidi ua vita. Maneno " inuka juu" ina maanisha "simaa kwa urefu" " siyo kwamba kitu cha juu kinakuja kutoka angani. # Tunalifanya mateka kila wazo katika utii kwa Kristo Paulo anazungumza juu ya mawazo ya watu kama vile yalikuwa askari ambaye alimteka katika vita. # kuadhibu kila matendo lisilo na uti Maneno haya "tendo lisilo na utii" yanasimama kuwakilisha watu ambao waliyatenda maatendo hayo.