sw_tn/2co/10/03.md

20 lines
872 B
Markdown

# tunaenenda katika mwili
Neno mwili: " ni neno mbadala lililotumika kuelezea maisha ya kimwili"
# hatupigani vita ...tunapigana
Paulo anazungumzakujaribu kuwashawishi Wakorintho kumwamini na siyo waalimu wa uongo ka vile alivyokuwa akipambana vita vya mwili.
# pigana vita kwa jinsi ya mwili
Maana zawezakuwa hizi: neno " mwili" ni neno linalosimama kuwakilisha maisha ya mwili" au neno "/mwili" ni neno linalosimama badala ya asili ya mwandamu ya dhambi "
# silaha tunazotumia kupigana...zinaondosha kabisa mijadala inayopotosha
Paulo anazungumzia hekima ya kimungu akionyesha hekima ya kibinadamu kuwa ya uongo na kama silaha ambayo kwayo alikuwa akiharibu nguvu za adui.
# si za kimwili
Maana zawezakuwa hizi: neno " mwili" ni neno linalosimama kuwakilisha maisha ya mwili" au neno "/mwili" ni neno linalosimama badala ya asili ya mwandamu ya dhambi "