sw_tn/2co/10/03.md

872 B

tunaenenda katika mwili

Neno mwili: " ni neno mbadala lililotumika kuelezea maisha ya kimwili"

hatupigani vita ...tunapigana

Paulo anazungumzakujaribu kuwashawishi Wakorintho kumwamini na siyo waalimu wa uongo ka vile alivyokuwa akipambana vita vya mwili.

pigana vita kwa jinsi ya mwili

Maana zawezakuwa hizi: neno " mwili" ni neno linalosimama kuwakilisha maisha ya mwili" au neno "/mwili" ni neno linalosimama badala ya asili ya mwandamu ya dhambi "

silaha tunazotumia kupigana...zinaondosha kabisa mijadala inayopotosha

Paulo anazungumzia hekima ya kimungu akionyesha hekima ya kibinadamu kuwa ya uongo na kama silaha ambayo kwayo alikuwa akiharibu nguvu za adui.

si za kimwili

Maana zawezakuwa hizi: neno " mwili" ni neno linalosimama kuwakilisha maisha ya mwili" au neno "/mwili" ni neno linalosimama badala ya asili ya mwandamu ya dhambi "