# tunaenenda katika mwili Neno mwili: " ni neno mbadala lililotumika kuelezea maisha ya kimwili" # hatupigani vita ...tunapigana Paulo anazungumzakujaribu kuwashawishi Wakorintho kumwamini na siyo waalimu wa uongo ka vile alivyokuwa akipambana vita vya mwili. # pigana vita kwa jinsi ya mwili Maana zawezakuwa hizi: neno " mwili" ni neno linalosimama kuwakilisha maisha ya mwili" au neno "/mwili" ni neno linalosimama badala ya asili ya mwandamu ya dhambi " # silaha tunazotumia kupigana...zinaondosha kabisa mijadala inayopotosha Paulo anazungumzia hekima ya kimungu akionyesha hekima ya kibinadamu kuwa ya uongo na kama silaha ambayo kwayo alikuwa akiharibu nguvu za adui. # si za kimwili Maana zawezakuwa hizi: neno " mwili" ni neno linalosimama kuwakilisha maisha ya mwili" au neno "/mwili" ni neno linalosimama badala ya asili ya mwandamu ya dhambi "