forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
589 B
Markdown
24 lines
589 B
Markdown
# hao ndugu
|
|
|
|
Paulo anazungumzia Tito na wanaume wawili wanaungana naye.
|
|
|
|
# ili kwamba majivuno yetu kuhusu ninyi yasiwe ya bure
|
|
|
|
Paulo hapendi wengine wafikiri kuwa vitu ambavyo amejivunia kuhusu Wakorintho hawakuwa sahihi.
|
|
|
|
# kuwakuta hamjawa tayari
|
|
|
|
"kuwakuta hamjawa tayari kuto"
|
|
|
|
# sisemi chochote kuhusu ninyi
|
|
|
|
Paulo antumia sentensi kanushi kusisitiza kwamba kitu kile kile kuwa kweli kuhusu Wakorintho.
|
|
|
|
# ndugu kuja kwenu
|
|
|
|
Kutoka katika mtazama wa Paulo, ndugu wanakwenda .
|
|
|
|
# si kama kitu kilichoamriwa
|
|
|
|
Yaweza kuelezwa hivi: " sivyo kama kitu ambacho tuliwalazimisha kutoa"
|