sw_tn/2co/09/03.md

589 B

hao ndugu

Paulo anazungumzia Tito na wanaume wawili wanaungana naye.

ili kwamba majivuno yetu kuhusu ninyi yasiwe ya bure

Paulo hapendi wengine wafikiri kuwa vitu ambavyo amejivunia kuhusu Wakorintho hawakuwa sahihi.

kuwakuta hamjawa tayari

"kuwakuta hamjawa tayari kuto"

sisemi chochote kuhusu ninyi

Paulo antumia sentensi kanushi kusisitiza kwamba kitu kile kile kuwa kweli kuhusu Wakorintho.

ndugu kuja kwenu

Kutoka katika mtazama wa Paulo, ndugu wanakwenda .

si kama kitu kilichoamriwa

Yaweza kuelezwa hivi: " sivyo kama kitu ambacho tuliwalazimisha kutoa"