# hao ndugu Paulo anazungumzia Tito na wanaume wawili wanaungana naye. # ili kwamba majivuno yetu kuhusu ninyi yasiwe ya bure Paulo hapendi wengine wafikiri kuwa vitu ambavyo amejivunia kuhusu Wakorintho hawakuwa sahihi. # kuwakuta hamjawa tayari "kuwakuta hamjawa tayari kuto" # sisemi chochote kuhusu ninyi Paulo antumia sentensi kanushi kusisitiza kwamba kitu kile kile kuwa kweli kuhusu Wakorintho. # ndugu kuja kwenu Kutoka katika mtazama wa Paulo, ndugu wanakwenda . # si kama kitu kilichoamriwa Yaweza kuelezwa hivi: " sivyo kama kitu ambacho tuliwalazimisha kutoa"