sw_tn/2co/08/22.md

20 lines
554 B
Markdown

# pamoja nao
Neno "wao"linamaanisha Tito na ndugu wengine walioorodheshwa hapa kabla.
# yeye ni mshirika mwenza wangu na mtendakazi mwenzangu kwa ajili yenu
"yeye ni mshirika mwenzangu anayetenda kazi pamoja nami kwa ajili yenu"
# Kama kwa ndugu zetu
Ina maanisha kwa wanume wawili wengine ambao wataungana na Tito.
# wanatumwa na makanisa.
Sentensi hii yaweza kusemwa katika kauli tendaji hivi: "makanisa yamewatuma wao"
# Ni waheshima kwa Kristo
Sentensi hii yaweza kusemwa katika kauli tendaji hivi: "watawasababisha watu kumheshimu Kristo"