sw_tn/2co/08/22.md

554 B

pamoja nao

Neno "wao"linamaanisha Tito na ndugu wengine walioorodheshwa hapa kabla.

yeye ni mshirika mwenza wangu na mtendakazi mwenzangu kwa ajili yenu

"yeye ni mshirika mwenzangu anayetenda kazi pamoja nami kwa ajili yenu"

Kama kwa ndugu zetu

Ina maanisha kwa wanume wawili wengine ambao wataungana na Tito.

wanatumwa na makanisa.

Sentensi hii yaweza kusemwa katika kauli tendaji hivi: "makanisa yamewatuma wao"

Ni waheshima kwa Kristo

Sentensi hii yaweza kusemwa katika kauli tendaji hivi: "watawasababisha watu kumheshimu Kristo"