sw_tn/2co/08/20.md

376 B

kuhusiana na huo ukarimu tunaoubeba

"kuhusiana na namna tunavyothibiti karama hii ya ukarimu" Hii ina maanisha kuchukua matoleo kuyapeleka Yerusalemu.

Tunachukua uangalifu kufanya kilicho cha heshima

'tunachukua uangalifu kutunza zawadi hii katika njia inayoheshimika"

mbele za Bwana, lakini pia mbele za watu.

"katika utashi wa Mungu ....katika utashi wa watu"