# kuhusiana na huo ukarimu tunaoubeba "kuhusiana na namna tunavyothibiti karama hii ya ukarimu" Hii ina maanisha kuchukua matoleo kuyapeleka Yerusalemu. # Tunachukua uangalifu kufanya kilicho cha heshima 'tunachukua uangalifu kutunza zawadi hii katika njia inayoheshimika" # mbele za Bwana, lakini pia mbele za watu. "katika utashi wa Mungu ....katika utashi wa watu"