sw_tn/2co/08/20.md

12 lines
376 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kuhusiana na huo ukarimu tunaoubeba
"kuhusiana na namna tunavyothibiti karama hii ya ukarimu" Hii ina maanisha kuchukua matoleo kuyapeleka Yerusalemu.
# Tunachukua uangalifu kufanya kilicho cha heshima
'tunachukua uangalifu kutunza zawadi hii katika njia inayoheshimika"
# mbele za Bwana, lakini pia mbele za watu.
"katika utashi wa Mungu ....katika utashi wa watu"