sw_tn/2co/08/16.md

12 lines
383 B
Markdown

# aliyeweka ndani ya moyo wa Tito moyo uleule wa bidii ya kujali ambyo ninayo kwa ajili yenu
Neno " moyo" linamaanisha hisia. Hii ina maana kwamba Mungu alimtumia Tito kuwapenda.
# moyo uleule wa bidii ya kujali
"shauku ileile au " kujihusiha kwa ndani"
# Kwa kuwa si tu alipokea maombi yetu
Paulo ana maanisha ombi lake Tito kurejea Korintho na kukamilisha mchango wa fedha.