sw_tn/2co/08/16.md

383 B

aliyeweka ndani ya moyo wa Tito moyo uleule wa bidii ya kujali ambyo ninayo kwa ajili yenu

Neno " moyo" linamaanisha hisia. Hii ina maana kwamba Mungu alimtumia Tito kuwapenda.

moyo uleule wa bidii ya kujali

"shauku ileile au " kujihusiha kwa ndani"

Kwa kuwa si tu alipokea maombi yetu

Paulo ana maanisha ombi lake Tito kurejea Korintho na kukamilisha mchango wa fedha.