# aliyeweka ndani ya moyo wa Tito moyo uleule wa bidii ya kujali ambyo ninayo kwa ajili yenu Neno " moyo" linamaanisha hisia. Hii ina maana kwamba Mungu alimtumia Tito kuwapenda. # moyo uleule wa bidii ya kujali "shauku ileile au " kujihusiha kwa ndani" # Kwa kuwa si tu alipokea maombi yetu Paulo ana maanisha ombi lake Tito kurejea Korintho na kukamilisha mchango wa fedha.