sw_tn/2co/07/13.md

570 B

Ni kwa ajili ya hii kwamba tunafarijika

Hapa neno "hii" lina maanisha jinsi ambsvyo Wakorintho waliitikia kwa barua ya kwanza ya Paulo, kama alivyoeleza katika mistari ya mwanzo.

roho yake iliburudishwa na ninyi nyote

Hapa neno "roho" linaelezea silika ya mtu na mioyo yao .

Kwa kuwa kama nilijivuna kwake kuhusiana na ninyi

"kama ikiwa nilijivuna kwake kuhusu ninyi"

sikuwa na aibu

"hamkunikatisha tamaa"

Majivuno yetu kuhusu ninyi kwa Tito yalithibitisha kuwa kweli.

"ninyi mlithibitisha kuwa kujivuna kwetu kuhusu ninyi na Tito kulikuwa kweli."