# Ni kwa ajili ya hii kwamba tunafarijika Hapa neno "hii" lina maanisha jinsi ambsvyo Wakorintho waliitikia kwa barua ya kwanza ya Paulo, kama alivyoeleza katika mistari ya mwanzo. # roho yake iliburudishwa na ninyi nyote Hapa neno "roho" linaelezea silika ya mtu na mioyo yao . # Kwa kuwa kama nilijivuna kwake kuhusiana na ninyi "kama ikiwa nilijivuna kwake kuhusu ninyi" # sikuwa na aibu "hamkunikatisha tamaa" # Majivuno yetu kuhusu ninyi kwa Tito yalithibitisha kuwa kweli. "ninyi mlithibitisha kuwa kujivuna kwetu kuhusu ninyi na Tito kulikuwa kweli."