sw_tn/2co/07/13.md

20 lines
570 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Ni kwa ajili ya hii kwamba tunafarijika
Hapa neno "hii" lina maanisha jinsi ambsvyo Wakorintho waliitikia kwa barua ya kwanza ya Paulo, kama alivyoeleza katika mistari ya mwanzo.
# roho yake iliburudishwa na ninyi nyote
Hapa neno "roho" linaelezea silika ya mtu na mioyo yao .
# Kwa kuwa kama nilijivuna kwake kuhusiana na ninyi
"kama ikiwa nilijivuna kwake kuhusu ninyi"
# sikuwa na aibu
"hamkunikatisha tamaa"
# Majivuno yetu kuhusu ninyi kwa Tito yalithibitisha kuwa kweli.
"ninyi mlithibitisha kuwa kujivuna kwetu kuhusu ninyi na Tito kulikuwa kweli."