sw_tn/2co/06/17.md

318 B

Habari za Jumla

paulo ananukuu sehemu kutoka manabii wa Agano la Kale, Isaya na Ezekeieli.

mkatengwe

Sentensi hii yaweza kuelezwa katika kauli tendaji: " mkajitenge" au " mniruhusu mimi niwatenge"

Msiguse kitu kichafu,

Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa namna ya kukubali: "Gusa vitu ambavyo ni visafi pekee"