# Habari za Jumla paulo ananukuu sehemu kutoka manabii wa Agano la Kale, Isaya na Ezekeieli. # mkatengwe Sentensi hii yaweza kuelezwa katika kauli tendaji: " mkajitenge" au " mniruhusu mimi niwatenge" # Msiguse kitu kichafu, Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa namna ya kukubali: "Gusa vitu ambavyo ni visafi pekee"