sw_tn/2co/06/11.md

1.0 KiB

Sentensi Unganishi

Paulo anawatia moyo waamini wa Korintho kujitenga na miungu naa kuishi maisha kwa ajili ya Mungu.

Tumezungumza ukweli wote kwenu,

"tumezungumza ukweli kwenu"

mioyo yetu imefunguka kwa upana.

paulo anazungumza alivyowaathiri Wakorintho kwa kuwa na moyo uliofunguka.

mioyo yenu haizuiliwi na sisi, bali mnazuiliwa na hisia

Paulo anazungumzia Wakorintho kwa kukosa upendo kwake kama vile mioyo yao ilikuwa imesongwa katika nafasi finyi.

mioyo yenu haizuiliwi na sisi,

Sentensi hi yaweza kuelezwa kwa jinsi hii: " Hatujaizuia mioyo yenu" au " hatujawapa mioyo yenu sababu yoyote kuacha kutupenda sisi"

mnazuiliwa na hisia zenu wenyewe

Sentensi hii yaweza kuelezwa katika hali tendaji: " hisia zenu zinawazuia " au : mmeacha kutupenda sisi kwa sababu zenu"

katika kubadilishana kwa haki

"kama mwitikio halisi

ninaongea kama kwa watoto

Paulo anawaeleza Wakorintho kama watoto wake w kiroho.

fungueni mioyo yenu kwa upana.

Paulo anawasihi Wakorintho kumpenda yeye kama yee alivyowapenda wao.