# Sentensi Unganishi Paulo anawatia moyo waamini wa Korintho kujitenga na miungu naa kuishi maisha kwa ajili ya Mungu. # Tumezungumza ukweli wote kwenu, "tumezungumza ukweli kwenu" # mioyo yetu imefunguka kwa upana. paulo anazungumza alivyowaathiri Wakorintho kwa kuwa na moyo uliofunguka. # mioyo yenu haizuiliwi na sisi, bali mnazuiliwa na hisia Paulo anazungumzia Wakorintho kwa kukosa upendo kwake kama vile mioyo yao ilikuwa imesongwa katika nafasi finyi. # mioyo yenu haizuiliwi na sisi, Sentensi hi yaweza kuelezwa kwa jinsi hii: " Hatujaizuia mioyo yenu" au " hatujawapa mioyo yenu sababu yoyote kuacha kutupenda sisi" # mnazuiliwa na hisia zenu wenyewe Sentensi hii yaweza kuelezwa katika hali tendaji: " hisia zenu zinawazuia " au : mmeacha kutupenda sisi kwa sababu zenu" # katika kubadilishana kwa haki "kama mwitikio halisi # ninaongea kama kwa watoto Paulo anawaeleza Wakorintho kama watoto wake w kiroho. # fungueni mioyo yenu kwa upana. Paulo anawasihi Wakorintho kumpenda yeye kama yee alivyowapenda wao.