sw_tn/2co/06/11.md

36 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi
Paulo anawatia moyo waamini wa Korintho kujitenga na miungu naa kuishi maisha kwa ajili ya Mungu.
# Tumezungumza ukweli wote kwenu,
"tumezungumza ukweli kwenu"
# mioyo yetu imefunguka kwa upana.
paulo anazungumza alivyowaathiri Wakorintho kwa kuwa na moyo uliofunguka.
# mioyo yenu haizuiliwi na sisi, bali mnazuiliwa na hisia
Paulo anazungumzia Wakorintho kwa kukosa upendo kwake kama vile mioyo yao ilikuwa imesongwa katika nafasi finyi.
# mioyo yenu haizuiliwi na sisi,
Sentensi hi yaweza kuelezwa kwa jinsi hii: " Hatujaizuia mioyo yenu" au " hatujawapa mioyo yenu sababu yoyote kuacha kutupenda sisi"
# mnazuiliwa na hisia zenu wenyewe
Sentensi hii yaweza kuelezwa katika hali tendaji: " hisia zenu zinawazuia " au : mmeacha kutupenda sisi kwa sababu zenu"
# katika kubadilishana kwa haki
"kama mwitikio halisi
# ninaongea kama kwa watoto
Paulo anawaeleza Wakorintho kama watoto wake w kiroho.
# fungueni mioyo yenu kwa upana.
Paulo anawasihi Wakorintho kumpenda yeye kama yee alivyowapenda wao.