sw_tn/2co/05/20.md

32 lines
856 B
Markdown

# tunateuliwa kama wawakilishi wa Kristo,
Sentensi hiiyaweza kuelezwa kwa jinsi hii: " Mungu ametuchagua kama wawakilishi wa Kristo.
# wawakilishi wa Kristo
"wale waanao mhubiri Kristo
# Mpatanishwe kwa Mungu
Ina maanisha "Mungu na awapatanishe kwake"
# Alimfanya Kristo kuwa sadaka kwa ajili ya dhambi zetu
"Mungu alimfanya Kristo kuwa sadaka kwa ajili ya dhambi zetu"
# dhambi zetu...ili tuweze kufanyika
Neno "yetu" na "sisi" tumejumuishwa na inamaanisha waamini wote.
# Yeye ndiye ambaye hakutenda dhambi
"Kristo ni yeye pekee ambaye hakuwahi kutenda dhambi"
# Alifanya hivi ili tuweze kufanyika haki ya Mungu katika yeye
"Mungu alifanya hivi ili tuweze kufanyika haki ya Mungu kaika Kristo"
# li tuweze kufanyika haki ya Mungu katika yeye.
Tungo "haki ya Mungu" inamaanisha haki ambayo Munguanaihitaji na ambayo inatoka kwa Mungu.