sw_tn/2co/05/20.md

856 B

tunateuliwa kama wawakilishi wa Kristo,

Sentensi hiiyaweza kuelezwa kwa jinsi hii: " Mungu ametuchagua kama wawakilishi wa Kristo.

wawakilishi wa Kristo

"wale waanao mhubiri Kristo

Mpatanishwe kwa Mungu

Ina maanisha "Mungu na awapatanishe kwake"

Alimfanya Kristo kuwa sadaka kwa ajili ya dhambi zetu

"Mungu alimfanya Kristo kuwa sadaka kwa ajili ya dhambi zetu"

dhambi zetu...ili tuweze kufanyika

Neno "yetu" na "sisi" tumejumuishwa na inamaanisha waamini wote.

Yeye ndiye ambaye hakutenda dhambi

"Kristo ni yeye pekee ambaye hakuwahi kutenda dhambi"

Alifanya hivi ili tuweze kufanyika haki ya Mungu katika yeye

"Mungu alifanya hivi ili tuweze kufanyika haki ya Mungu kaika Kristo"

li tuweze kufanyika haki ya Mungu katika yeye.

Tungo "haki ya Mungu" inamaanisha haki ambayo Munguanaihitaji na ambayo inatoka kwa Mungu.