# tunateuliwa kama wawakilishi wa Kristo, Sentensi hiiyaweza kuelezwa kwa jinsi hii: " Mungu ametuchagua kama wawakilishi wa Kristo. # wawakilishi wa Kristo "wale waanao mhubiri Kristo # Mpatanishwe kwa Mungu Ina maanisha "Mungu na awapatanishe kwake" # Alimfanya Kristo kuwa sadaka kwa ajili ya dhambi zetu "Mungu alimfanya Kristo kuwa sadaka kwa ajili ya dhambi zetu" # dhambi zetu...ili tuweze kufanyika Neno "yetu" na "sisi" tumejumuishwa na inamaanisha waamini wote. # Yeye ndiye ambaye hakutenda dhambi "Kristo ni yeye pekee ambaye hakuwahi kutenda dhambi" # Alifanya hivi ili tuweze kufanyika haki ya Mungu katika yeye "Mungu alifanya hivi ili tuweze kufanyika haki ya Mungu kaika Kristo" # li tuweze kufanyika haki ya Mungu katika yeye. Tungo "haki ya Mungu" inamaanisha haki ambayo Munguanaihitaji na ambayo inatoka kwa Mungu.