sw_tn/2co/05/18.md

627 B

vitu vyote

"Mungu amefanya vitu hivi vyote." Ina maanishna kile ambacho Paulo alikisema katika mistari iliyotangulia kuhusu vitu vipya kushika nafasi ya vitu vya kale.

huduma ya upatanisho

Yaweza kutasiriwa na tungo tendo " huduma ya kuwapatanisha watu kwake"

Hiyo ni kusema

"hii ina maansha"

katika Kristo, Mungu anaupatanisha ulimwengu kwake mwenyewe

Katika sentensi hii neno" ulimwengu" lina maana ya watu walionmo duniani.

Anawekeza kwetu ujumbe wa upatanisho

Mungu amempa Paulo wajibu wa kueneza ujumbe kwamba Mungu anawapatanisha watu kwa yeye.

Ujumbe wa upatanisho

"ujumbe kuhusu uapatanisho"