# vitu vyote "Mungu amefanya vitu hivi vyote." Ina maanishna kile ambacho Paulo alikisema katika mistari iliyotangulia kuhusu vitu vipya kushika nafasi ya vitu vya kale. # huduma ya upatanisho Yaweza kutasiriwa na tungo tendo " huduma ya kuwapatanisha watu kwake" # Hiyo ni kusema "hii ina maansha" # katika Kristo, Mungu anaupatanisha ulimwengu kwake mwenyewe Katika sentensi hii neno" ulimwengu" lina maana ya watu walionmo duniani. # Anawekeza kwetu ujumbe wa upatanisho Mungu amempa Paulo wajibu wa kueneza ujumbe kwamba Mungu anawapatanisha watu kwa yeye. # Ujumbe wa upatanisho "ujumbe kuhusu uapatanisho"