sw_tn/2co/05/18.md

24 lines
627 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# vitu vyote
"Mungu amefanya vitu hivi vyote." Ina maanishna kile ambacho Paulo alikisema katika mistari iliyotangulia kuhusu vitu vipya kushika nafasi ya vitu vya kale.
# huduma ya upatanisho
Yaweza kutasiriwa na tungo tendo " huduma ya kuwapatanisha watu kwake"
# Hiyo ni kusema
"hii ina maansha"
# katika Kristo, Mungu anaupatanisha ulimwengu kwake mwenyewe
Katika sentensi hii neno" ulimwengu" lina maana ya watu walionmo duniani.
# Anawekeza kwetu ujumbe wa upatanisho
Mungu amempa Paulo wajibu wa kueneza ujumbe kwamba Mungu anawapatanisha watu kwa yeye.
# Ujumbe wa upatanisho
"ujumbe kuhusu uapatanisho"