sw_tn/2co/05/09.md

24 lines
556 B
Markdown

# tukiwa nyumbani au mbali
Neno " Bwana" huenda limetokana na mistari iliyotangulia. " ikiwa tukiwa numbani pamoja na Bwana au mbali na Bwana"
# tumpendeze yeye
"kumpendeza Bwana"
# mbele ya kiti cha hukumu cha Kristo
"mbele za Kristo kuhukumiwa"
# kila mmoja aweze kupokea kile kinachostahili
"kilamtu aweze kupokea kile anacholstahili"
# mambo yaliyotendwa katika mwili
Sentensi yaweza kuelezwa kwa jinsi hii: "vitu ambavyo amevifanya katika mwili unaoonekana"
# ikiwa ni kwa uzuri au kwa ubaya.
"ikiwa vitu hivyo vilikuwa vizuri au vibaya"