sw_tn/2co/05/09.md

556 B

tukiwa nyumbani au mbali

Neno " Bwana" huenda limetokana na mistari iliyotangulia. " ikiwa tukiwa numbani pamoja na Bwana au mbali na Bwana"

tumpendeze yeye

"kumpendeza Bwana"

mbele ya kiti cha hukumu cha Kristo

"mbele za Kristo kuhukumiwa"

kila mmoja aweze kupokea kile kinachostahili

"kilamtu aweze kupokea kile anacholstahili"

mambo yaliyotendwa katika mwili

Sentensi yaweza kuelezwa kwa jinsi hii: "vitu ambavyo amevifanya katika mwili unaoonekana"

ikiwa ni kwa uzuri au kwa ubaya.

"ikiwa vitu hivyo vilikuwa vizuri au vibaya"