# tukiwa nyumbani au mbali Neno " Bwana" huenda limetokana na mistari iliyotangulia. " ikiwa tukiwa numbani pamoja na Bwana au mbali na Bwana" # tumpendeze yeye "kumpendeza Bwana" # mbele ya kiti cha hukumu cha Kristo "mbele za Kristo kuhukumiwa" # kila mmoja aweze kupokea kile kinachostahili "kilamtu aweze kupokea kile anacholstahili" # mambo yaliyotendwa katika mwili Sentensi yaweza kuelezwa kwa jinsi hii: "vitu ambavyo amevifanya katika mwili unaoonekana" # ikiwa ni kwa uzuri au kwa ubaya. "ikiwa vitu hivyo vilikuwa vizuri au vibaya"