sw_tn/2co/04/16.md

1.0 KiB

Sentensi Unganishi

Paulo anaandika kwamba changamoto za Wakorintho ni ndogo na hazitadumu wakati zikilinganishwa na vitu vya milele visivyoonekana.

Hivyo hatukati tamaa

"Sentensi hii inaweza kuelezwa kwa jinsi hii" hivyo tunabakia wajasiri"

kwa nje tunachakaa,

Hii ina maanisha miili yao inaharibika na kufa.

kwa ndani tunafanywa upya siku hadi siku.

Ina maanisha utu wao wa ndani, kiroho maisha yanazidi kuimarika.

Kwa kipindi hiki kifupi, mateso haya mepesi yanatuandaa sisi kwa ajili ya umilele mzito wa utukufu

Paulo anazungumzia mateso yake na utukufu ambaoMungu atampa kuwa vilikuwa vitu vinavyoweza kupimika.

uzidio vipimo vyote

Utukufu wa uzoefu ambao Paulo ataupata ni mzito sana ambao hakuna awezaje kuupima.

Vitu tunavyoweza kuviona ni vya muda tu, bali vitu ambayo havionekani

Sentensi hii inaweza kuelezwa kwa jinsi hii. " vitu ambavyo twaweza kuviona...vitu ambavyo hatuwezi kuviona"

bali kwa ajili ya vitu visivyoonekana

Unaweza kuligawa tendo kwa tungo hizi. "lakini twangojea vitu ambavyo havionekani"