sw_tn/2co/04/16.md

32 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi
Paulo anaandika kwamba changamoto za Wakorintho ni ndogo na hazitadumu wakati zikilinganishwa na vitu vya milele visivyoonekana.
# Hivyo hatukati tamaa
"Sentensi hii inaweza kuelezwa kwa jinsi hii" hivyo tunabakia wajasiri"
# kwa nje tunachakaa,
Hii ina maanisha miili yao inaharibika na kufa.
# kwa ndani tunafanywa upya siku hadi siku.
Ina maanisha utu wao wa ndani, kiroho maisha yanazidi kuimarika.
# Kwa kipindi hiki kifupi, mateso haya mepesi yanatuandaa sisi kwa ajili ya umilele mzito wa utukufu
Paulo anazungumzia mateso yake na utukufu ambaoMungu atampa kuwa vilikuwa vitu vinavyoweza kupimika.
# uzidio vipimo vyote
Utukufu wa uzoefu ambao Paulo ataupata ni mzito sana ambao hakuna awezaje kuupima.
# Vitu tunavyoweza kuviona ni vya muda tu, bali vitu ambayo havionekani
Sentensi hii inaweza kuelezwa kwa jinsi hii. " vitu ambavyo twaweza kuviona...vitu ambavyo hatuwezi kuviona"
# bali kwa ajili ya vitu visivyoonekana
Unaweza kuligawa tendo kwa tungo hizi. "lakini twangojea vitu ambavyo havionekani"