# Sentensi Unganishi Paulo anaandika kwamba changamoto za Wakorintho ni ndogo na hazitadumu wakati zikilinganishwa na vitu vya milele visivyoonekana. # Hivyo hatukati tamaa "Sentensi hii inaweza kuelezwa kwa jinsi hii" hivyo tunabakia wajasiri" # kwa nje tunachakaa, Hii ina maanisha miili yao inaharibika na kufa. # kwa ndani tunafanywa upya siku hadi siku. Ina maanisha utu wao wa ndani, kiroho maisha yanazidi kuimarika. # Kwa kipindi hiki kifupi, mateso haya mepesi yanatuandaa sisi kwa ajili ya umilele mzito wa utukufu Paulo anazungumzia mateso yake na utukufu ambaoMungu atampa kuwa vilikuwa vitu vinavyoweza kupimika. # uzidio vipimo vyote Utukufu wa uzoefu ambao Paulo ataupata ni mzito sana ambao hakuna awezaje kuupima. # Vitu tunavyoweza kuviona ni vya muda tu, bali vitu ambayo havionekani Sentensi hii inaweza kuelezwa kwa jinsi hii. " vitu ambavyo twaweza kuviona...vitu ambavyo hatuwezi kuviona" # bali kwa ajili ya vitu visivyoonekana Unaweza kuligawa tendo kwa tungo hizi. "lakini twangojea vitu ambavyo havionekani"