sw_tn/2co/04/13.md

32 lines
861 B
Markdown

# roho ileile ya imani
'nia ileile ya imani"Hapa neno" roho" linamaanisha nia ya mtu na silika.
# kulingana na kile kilicho andikwa
Sentensi hii inaweza kuelezwa katika kauli tendaji." kama mmoja yule anayeandika maneno haya"
# Niliamini, na hivyo nilinena
Hii ni rejea ktoka katika kitabu cha Zaburi.
# yule aliye mfufua Bwana Yesu pia atatufufua sisi pamoja naye
Neno "yuleyule"linamaanisha Mungu"
# atatufufua sisi pamoja naye
Neno "sisi" linawatenga Wakorintho.
# Kila kitu ni kwa ajili yenu
Neno "kila kitu" linamaanisha mateso yote ambayo Paulo aliyoyaelelza katika mistari iliyotangulia.
# neema inavyo enea kwa watu wengi
Sentensi hii inaweza kuelezwa kwa jinsi hii "kama Mungu anavyoeneza neema yake kwa watu wengi"
# shukurani zizidi kuongezeka
Paulo anazungumzia shukrani kuwa kama kitu ambacho kingekuja kuwa kikubwa kwa chenyewe.