sw_tn/2co/04/13.md

861 B

roho ileile ya imani

'nia ileile ya imani"Hapa neno" roho" linamaanisha nia ya mtu na silika.

kulingana na kile kilicho andikwa

Sentensi hii inaweza kuelezwa katika kauli tendaji." kama mmoja yule anayeandika maneno haya"

Niliamini, na hivyo nilinena

Hii ni rejea ktoka katika kitabu cha Zaburi.

yule aliye mfufua Bwana Yesu pia atatufufua sisi pamoja naye

Neno "yuleyule"linamaanisha Mungu"

atatufufua sisi pamoja naye

Neno "sisi" linawatenga Wakorintho.

Kila kitu ni kwa ajili yenu

Neno "kila kitu" linamaanisha mateso yote ambayo Paulo aliyoyaelelza katika mistari iliyotangulia.

neema inavyo enea kwa watu wengi

Sentensi hii inaweza kuelezwa kwa jinsi hii "kama Mungu anavyoeneza neema yake kwa watu wengi"

shukurani zizidi kuongezeka

Paulo anazungumzia shukrani kuwa kama kitu ambacho kingekuja kuwa kikubwa kwa chenyewe.