# roho ileile ya imani 'nia ileile ya imani"Hapa neno" roho" linamaanisha nia ya mtu na silika. # kulingana na kile kilicho andikwa Sentensi hii inaweza kuelezwa katika kauli tendaji." kama mmoja yule anayeandika maneno haya" # Niliamini, na hivyo nilinena Hii ni rejea ktoka katika kitabu cha Zaburi. # yule aliye mfufua Bwana Yesu pia atatufufua sisi pamoja naye Neno "yuleyule"linamaanisha Mungu" # atatufufua sisi pamoja naye Neno "sisi" linawatenga Wakorintho. # Kila kitu ni kwa ajili yenu Neno "kila kitu" linamaanisha mateso yote ambayo Paulo aliyoyaelelza katika mistari iliyotangulia. # neema inavyo enea kwa watu wengi Sentensi hii inaweza kuelezwa kwa jinsi hii "kama Mungu anavyoeneza neema yake kwa watu wengi" # shukurani zizidi kuongezeka Paulo anazungumzia shukrani kuwa kama kitu ambacho kingekuja kuwa kikubwa kwa chenyewe.